Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

WAJUE NA KUWATAMBUA FREEMASON, HAWA HAPA.



                                

Historia ya Freemason imegawanyika katika Nyakati kuu mbili tofauti, Yaani Kabla na baada ya Grand Lodge of England on 24th June 1717. Baada ya kutengenezwa kwa Grand Lodge huko Uingereza ambazo zilikuwa maalumu kwa Freemason, Freemason walianza kuenea Duniani kote kwa kutengeneza Lodges za mtindo huohuo katika nchi nyingine, na sasa ikafika hadi Tanzania, Kabla ya ukoloni. Marekani ilifika Mwaka 1775.
Ningependa kuwapa kazi ambazo wao huwa wanazifanya na Tabia za watu hawa ambao wapo kwenye Dini hiyo ya Kishetani.
1. Kusaidia watu wote wenye matatizo mbali mbali, Mfano majanga kama kwetu hapa Gongolamboto, Mbagalia Mabomu, Mafuliko, Kuunguliwa Moto nakadhalika 
2. Kusaidia vituo vya watoto yatima, Kuandaa sikukuu au mikutano ya vilema na wamama wajane.
3. Wanatoa misaada ya kupata kazi na awakati mwingine facilities na njia mbadala za kupata kazi.


Tabia zao 
1. Kwanza ni wapole na wanyenyekevu sana kwa watu na hawapendi makundi yenye kujitoa kimbelembele.
2. Wengi wao ni matajiri na watu maarufu, na wenye Heshima kubwa sana kwenye nchi husika, na wafanyabiashara. 3. Watu wanaopenda kujitolea kwa hali na mali katika jamii, ikitokea tatizo lolote la kitaifa. 4. Wanaopenda kuanzisha mifuko mbalimbali kwaajili ya jamii Fulani, Lengo ni kupata 5. Hawapendi ugomvi au machafuko ya aina yoyote, ni watu wa Amani. 6. Hutumia Ufreemason wao kupata wateja kwenye biashara zao, au kupata watu wengi kwenye majukwaa ya kisiasa kwa lengo la kushinda chaguzi mbalimbali, kwa wanamuziki Ili miziki yao ipendwe na kupata watu wengi kwenye shoo zao. Wachezaji kwa Fowadi waweze kushinda magoli wawapo kwenye mechi, na Waigizaji kazizao zipendwe na wao wawe na followers wengi. 
 
 Hizi ni alama wanazo tumia Mara kwa mara wakiwa kwenye shugulizao kwaajiri ya kuleta mvuto kutoka kwa watu wanao wasikiliza au wanaofuata Burudani kwa Wanamuziki Kama Michael Jackson.
Pia kwa Wachezaji wanaishara ya Vidole Viwili kuonesha chini (cha pili na cha tatu kutoka dole gumba) wakati wa kupiga faulo, na Penalt. au wakikaribia Goli wakati wa Kufunga ( Messi, Ronaldo ) ni mifano mzuri.

Freemason in Tanzania
Mpaka sasa Dini hii ya kishetani inamiaka zaidi ya 79, toka ilipoingia hapa nchini Tanzania na member wake wamezidi kuongezeka na kuwa wengine sana kati ya miaka ya 1985- 2000 kwa kutaka kupata Mvuto kisiasa, Kiutamaduni, Kimichezo, Kimuziki, Uigizaji na wengine katika biashara na mambo mengine. Lakini hili la Siasa ndo limeshika hatamu sana, Tafadhali Fuatilia Mikutano ya Bunge na uone Je Ishara hizo hapo juu hazitumiki? Jibu unalo wewe!!!


Hili ni Hall lililoko Mtaa wa sokoine Liko mkabala na Hotel ya Kilimanjaro Kempisky, na wageni wengi hufikia Hotel hiyo kwa urahisi wa Mikutano yao, kwani mambo yao huendeshwa kwa usiri mkubwa sana.

Hawa ni Mafreemason Wakishiriki kwa Pamoja katika shughuli ya upandaji wa Miti, Nadhani sasa utaanza kuelewa Kazi na shughuli wanazo jishughulisha na hawa watu,, NAOMBA TUWE MAKINI SANA NA HAWA WATU, AMBAO HUFANYA VITU VINGI VIZURI ILI KUKUVUTA NA WEWE UJIUNGE. FUMBA MACHO MKUMBUKE MUNGU WAKO KISHA WAKEMEE.


Huyu Jamaa ANAITWA Sir Andy Chande Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Yeye ni Mwanachama wa Freemasons

Hawa jamaa hapa Tanzania wamesaidia kituo cha watu wenye ukoma cha kindiwi wilayani Utete; Kituo cha watoto cha Mama Theresa; shule  ya Vipofu ya Pongwe, mkoani Tanga; Kituo cha yatima cha Arusha, Hospitali ya Mnazi mmoja kula Zanzibar; na Shule ya Viziwi ya Buguruni.

 
 

ANGALIA PICHA HIZI ZA ‘KANGA MOJA NDEMBENDEMBE’, ‘KANGA MOKO LAKI SI PESA’ NA ‘KITU T’ ALAFU UTATHMINI NI LENGO/DHUMUNI LAO LA UCHEZAJI HUU

Astaghafirullahi.... hii sasa noma. Uchezaji huu wa mnenguaji mmojawapo wa akina 'Kanga Moko' nd'o uliomchefua mbunge hadi akalalamika bungeni.

Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Poketi Money'
Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko'
 mmmmmh


Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili?


Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu!
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko  


jionee mwenyewe

MAHABA NIUWE: MCHEKI DIAMOND ALIVYO VAA WIGI LA WEMA SEPETU

Mahaba nipige makonde...Mahaba nikaushe damu...Diamond akiwa amevaa Wigi la Wema....Mapenzi matamu sana.

HAYA NI MAAJABU YA DUNIA !!!, AMA MAAJABU YA MWENYEZI MUNGU ?.

KUKU MWENYE VICHWA VIWILI SIJUI KWELI !.

HII NI NGOZI ILIYOTOBOLEWA CHINI YA KIDEVU CHA MWANAMKE IKIWA NGOZI HIYO IMEVUTWA NA WAYA, KWA WALE WA WAKAZI WA KUS INI HASA MIKOA YA LINDI NA MTWA SEHEMU HIYO HUITA SEHEMU YA KUWEKEA NDONYA. (KIPANDE CHA MTI KILICHONGWA KAMA SALAFU)

HUYU MBABA AKIWA AMETABASAMU
HUYU NI MBWA NAFIKIRI ATAKUWA MBWA MREFU KULIKO WOTE DUNIANI KAMA MFUMO WA KOMPUTA HAUKUFANYA KAZI YAKE.
 

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ATAFUTA UMAARUFU KWA KUSAMBAZA PICHA ZAKE ZA UCHI MITANDAONI.






JAMANI HII TABIA YA UPIGAJI WA PICHA ZA UCHI ITAISHA LINI? MAANA KILA TUNAPOJITAHIDI KUWAUMBUA KATIKA PAPARAZI ILI MPATE FUNDISHO LAKINI YAONEKANA SASA KUWA NDIO HABARI YA MJINI KUWEKWA KWENYE MITANDAO!!



                     PICHA ZENYEWE HIZO HAPO BOFYA 1 BAADA YA NYINGINE...RAHAAAAAAAAA. 
                                   
<<Picha ya 1>>
<< Picha ya 2>>
<<Picha ya 3>>
<<Picha ya 4>>

INASIKITISHA..MREMBO AUNGUZWA SEHEMU ZA SIRI NA MOTO WA AJABU...SOMA ZAIDI HAPA....!

Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri.
KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Doto Omari (30, pichani) ameunguzwa na moto wa ajabu sehemu zake za siri.

Moja ya jeraha alilolipata.
Tukio hilo la aina yake lilitokea alfajiri ya Machi 16 mwaka huu,   Mwananyamala – Kichangani, Dar,  wakati mwanamke huyo alipokwenda chooni kujisaidia. 

Akizungumza na waandishi wetu, Doto alisema alipoanza kujisaidia, alishangaa kuona moto mkubwa ukitokea ndani ya shimo la choo na kumuunguza sehemu zake za siri, jambo lililomfanya apige kelele kuomba msaada. 

“Yaani ule moto ulikuwa mkubwa halafu wa kijani huku ukiwa na muungurumo wa ajabu. Mimi nilishangaa kuuona ukinifuata na kuniunguza,” alisema. 

Kaka wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Adam, alisema aliposikia kelele za moto, alikimbilia maji akijua ni wa kawaida. 

“Mpaka sasa tumechanganyikiwa sana, hilo siyo tukio la kwanza, yako mengi, nilishawahi kumuona mtu wa ajabu  kainama kwenye mlango wa kuingilia chooni halafu kufumba na kufumbua akapotea, hii nyumba siyo kabisa.

NOMAA KWELI...!!!! ONA PICHA ZA AIBU JIBABA LAKUTWA NDANI YA GARI AKIFANYA YAKE NA DENTI... HABARI PICHA





KWA MWENDO HUU MBONA WANAUME WENGI WANGEJIUNGA NA JESHI LA POLISI....!!! HABARI PICHA



Kijana wa kizazi hiki cha digitali asingeweza kuvumilia hali hiyo ya kumshika shika mwanadada kwa kiasi hicho bila maungo yake kusisimka..!!!!!!
Inahitaji moyo kufanya kazi kama hizo alafu mwanadada akufanyie makusudi utajuta….!!!

HUYU JAMAA KWELI MZIMA AU AMESHA DATA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA…!!! HABARI PICHA…




Kweli ukishangaa ya Musa utaona ya filauni, huyu jamaa ameonekana akikatiza mitaani akiwa anaendesha gari la mbao huku akitoa milio tofauti tofauti ya kama gari kweli.
Hatuku fahamu ni nini kilicho msibu mpaka kijana huyo kuwa katika hali kama hiyo ya kufanya mambo ya kitoto wakati yeye ni mtu mzima.

HUYU NDO JOSE CHAMELEON...!! HIVI NDIVYO ANAVYOFANYA KATIKA KUHESABU PESA...!!

Unapomuongelea Jose Chameleone unamuongela msanii ambaye ni legend katika muziki na ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika ambaye aliwahi kutajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana.

Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.




Utajiri alionao Jose Chameleone ni  mkubwa na anamiliki magari mengi kama escalade, studio ya muziki, mijengo tofauti ukiachilia mbali vitega uchumi vingine vinavyomuingizia kipato na kuongeza utajiti wake ukiachilia mbali muziki anaoufanya.

UWIIII!! PICHA ZA UCHI ALIZOPIGWA NA MDADA MWENZIE AKIWA ANAOGA SASA AMGEUKA MWENZIE NA KUANZA KUZISAMBAZA KWENYE MTANDAO WA WHATSAPP!!

https://www.facebook.com/brotherlucas


LULU MICHAEL AKUBALI KUPIGA PICHA ZA NUSU UTUPU KWA AJILI YA KUPAMBA UKURASA WA MBELE WA GAZETI...!!

Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu  Michael  naye  amekubali  kuchukuliwa  akiwa  nusu  uchi  kwa  ajili  ya  kuupamba  ukurasa  wa  mbele  wa  gazeti  hilo  ambapo  ndani  ya  gazeti  hilo, Msanii  huyu  amefunguka  mambo  mengi  kuhusiana  na  maisha  yake  binafsi.....
 
Moja  ya  toleo  la  gazeti  hilo  likimuonyesha Wema  Sepetu  akiwa  amejiziba  majani  ya  miti  kuficha  kifua  chake  ambacho  kilikuwa  wazi

ZICHEKI PICHA ZA LAANA za WAZUNGU WAKIBAMBIWA NA WABONGO... CHEZEA UGUMU WEWEEE!!





MSICHANA AMCHANA MWENZAKE NA KISU BAADA YA KUGUNDUA ANATOKA NA MWANAUME WAKE

Je Unaweza kufanya unyama kama huu ukisikia mtu wako anatoka kimapenzi na mtu mwingine? Basi hii imetokea hivi karibuni msichana mmoja baada ya kusikia boyfriend wake anatoka na msichana mwingine alitoka na kumtafuta huyu msichana na kumchana chana na kisu kama unavyoona hapo kwenye picha.......

LOL!! HUYU NDIYE MSANII WA KIKE ALIYEVUNJA RECORD KUWA NA SEHEMU YA SIRI KUBWA KULIKO MASTAR WENGINE WA KIKE , AKINA NRITNEY SPEAR TUPA KULE,,,TAZAMA PICHA ZA USHAHID ALIPO MWAGA RADHI JUKWAANI
























TIZAMA PICHA AKIWA AMEVUA KABISA NGUO YAANI YUKO UCH KITU KIKIONEKANA LIVE!!
ICHEKI PICHA HIYO HAPA CHINI KWA KUCL1CK PICHA INAYOONEKANA HAPA CHINI


HUYU NDIYE MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEFUNGA NDOA ILIYOHUDHURIWA NA WATU 6 TU...!! BABA ALIAMBIWA SIKU YA NDOA KAMA MTOTO ANAOA..!!

Unaweza ukawa hujui kuwa rapper D-Knob ni mume wa mtu na baba wa mtoto wa mmoja wa kike. Hilo ni la kawaida, lakini litakalokuacha mdomo wazi ni namna alivyofunga ndoa.

Hivi ndivyo alivyosimulia kwenye kipindi cha Mkasi cha wiki iliyopita:

“Tulikuwa muda mrefu sisi tunadate muda mrefu, mimi baadaye nikamchana ‘ooyah mimi nataka tuoane’ kipindi kile Vivica kashazaliwa ana kama miaka miwili mitatu akaniambia poa. Kwahiyo sisi tukaenda kanisani tukamkuta Padre tukamwambia ‘ooyah sisi tunataka kuoana,ikiwezekana hata leo’ Padre akatuambia ‘bwana nyie inabidi mfanye hata mafundisho tuwaelekeze ndoa ni nini’. Sasa mimi nikawa na kampeni muda,kila siku tuwe tunakuja tunafundishwa, akatuambia ‘naomba niwafundishe two weeks lakini kila Jumamosi’. Kwahiyo tukafundishwa kama Jumamosi hii na inayofuata, halafu inayofuata nikapiga tai yangu mimi na mnyamwezi wangu Steve B,mnyamwezi wangu Mark Dizzo tukaingia kanisani. Kwahiyo kanisani kulikuwa na kama watu sita likapigwa harusi moja hatari sana. Nilivyotoka baba akajoin, yaani baba amejua kwamba mimi naoa siku hiyo hiyo,aka join nini speech yake nakumbuka alisema ‘mimi sijui hata niseme nini maana umeniambia leo unaoa ,sina zawadi sijui nifanyeje’ Kwahiyo tukachill baadaYe ‘madingi’ wakaenda home na sisi tukaenda Bilicanas kula debe, wife na shela lake mimi na suti zangu,kwaHiyo ilikuwa hivyo.”

OMG..WANAFUNZI WANSWA WAKIFANYA VITENDO VICHAFU HADHARANI...!!JIONEE MWENYEWE HAPA...


GARI ALILONUNUA MASANJA MKANDAMIZAJI NA KUANDIKA MANENO HAYA..

Screen Shot 2014-03-25 at 10.13.21 PM
 Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’
dd

MDADA HUYU AJIUZA KUPITIA FACEBOOK, AKESHA AKIPOST PICHA ZA UTUPU ni shidaaaaaaaa!!

clip_image002[8]Anaitwa NEEMA PAUL MALIMO ni jina analotumia Facebook, amekuwa ndio Tabia yake kuweka picha za kuwatega wanaume na kuwataka wampigie simu ili aweze kuwapa penzi hilo kwa maelewano.clip_image002[10]Huyu inasemekana ni kahaba wa kutupwa kwani amekuwa akiweka picha zake zisizo na maadili na Ni biashara yake anayoifanya na soko lake anategemea FACEBOOK….!!!!
EWE MWANANCHI JIHADHARI UKIMWI UNAUA…