Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.
Utajiri alionao Jose Chameleone ni mkubwa na anamiliki magari mengi kama escalade, studio ya muziki, mijengo tofauti ukiachilia mbali vitega uchumi vingine vinavyomuingizia kipato na kuongeza utajiti wake ukiachilia mbali muziki anaoufanya.


0 comments:
Chapisha Maoni