Baada
ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue
kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu Michael
naye amekubali kuchukuliwa akiwa nusu uchi kwa ajili ya
kuupamba ukurasa wa mbele wa gazeti hilo ambapo ndani ya
gazeti hilo, Msanii huyu amefunguka mambo mengi kuhusiana na
maisha yake binafsi.....
Moja
ya toleo la gazeti hilo likimuonyesha Wema Sepetu akiwa
amejiziba majani ya miti kuficha kifua chake ambacho kilikuwa
wazi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)




0 comments:
Chapisha Maoni