Kweli
ukishangaa ya Musa utaona ya filauni, huyu jamaa ameonekana akikatiza mitaani akiwa
anaendesha gari la mbao huku akitoa milio tofauti tofauti ya kama gari kweli.
Hatuku fahamu
ni nini kilicho msibu mpaka kijana huyo kuwa katika hali kama hiyo ya kufanya
mambo ya kitoto wakati yeye ni mtu mzima.

0 comments:
Chapisha Maoni