GARI ALILONUNUA MASANJA MKANDAMIZAJI NA KUANDIKA MANENO HAYA..
Masanja
Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa
Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante
Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’
0 comments:
Chapisha Maoni