Historia ya Freemason imegawanyika katika Nyakati kuu mbili tofauti, Yaani Kabla na baada ya Grand Lodge of England on 24th June 1717. Baada ya kutengenezwa kwa Grand Lodge huko Uingereza ambazo zilikuwa maalumu kwa Freemason, Freemason
walianza kuenea Duniani kote kwa kutengeneza Lodges za mtindo huohuo
katika nchi nyingine, na sasa ikafika hadi Tanzania, Kabla ya ukoloni.
Marekani ilifika Mwaka 1775.
Ningependa kuwapa kazi ambazo wao huwa wanazifanya na Tabia za watu hawa ambao wapo kwenye Dini hiyo ya Kishetani.
1.
Kusaidia watu wote wenye matatizo mbali mbali, Mfano majanga kama kwetu
hapa Gongolamboto, Mbagalia Mabomu, Mafuliko, Kuunguliwa Moto
nakadhalika
2. Kusaidia vituo vya watoto yatima, Kuandaa sikukuu au mikutano ya vilema na wamama wajane.
3. Wanatoa misaada ya kupata kazi na awakati mwingine facilities na njia mbadala za kupata kazi.
Tabia zao
1. Kwanza ni wapole na wanyenyekevu sana kwa watu na hawapendi makundi yenye kujitoa kimbelembele. 2. Wengi wao ni matajiri na watu maarufu, na wenye Heshima kubwa sana kwenye nchi husika, na wafanyabiashara. 3. Watu wanaopenda kujitolea kwa hali na mali katika jamii, ikitokea tatizo lolote la kitaifa. 4. Wanaopenda kuanzisha mifuko mbalimbali kwaajili ya jamii Fulani, Lengo ni kupata 5. Hawapendi ugomvi au machafuko ya aina yoyote, ni watu wa Amani. 6. Hutumia Ufreemason wao kupata wateja kwenye biashara zao, au kupata watu wengi kwenye majukwaa ya kisiasa kwa lengo la kushinda chaguzi mbalimbali, kwa wanamuziki Ili miziki yao ipendwe na kupata watu wengi kwenye shoo zao. Wachezaji kwa Fowadi waweze kushinda magoli wawapo kwenye mechi, na Waigizaji kazizao zipendwe na wao wawe na followers wengi.

Hizi
ni alama wanazo tumia Mara kwa mara wakiwa kwenye shugulizao kwaajiri
ya kuleta mvuto kutoka kwa watu wanao wasikiliza au wanaofuata Burudani
kwa Wanamuziki Kama Michael Jackson.
Pia
kwa Wachezaji wanaishara ya Vidole Viwili kuonesha chini (cha pili na
cha tatu kutoka dole gumba) wakati wa kupiga faulo, na Penalt. au
wakikaribia Goli wakati wa Kufunga ( Messi, Ronaldo ) ni mifano mzuri.
Freemason in Tanzania
Mpaka
sasa Dini hii ya kishetani inamiaka zaidi ya 79, toka ilipoingia hapa
nchini Tanzania na member wake wamezidi kuongezeka na kuwa wengine sana
kati ya miaka ya 1985- 2000 kwa kutaka kupata Mvuto kisiasa,
Kiutamaduni, Kimichezo, Kimuziki, Uigizaji na wengine katika biashara
na mambo mengine. Lakini hili la Siasa ndo limeshika hatamu sana,
Tafadhali Fuatilia Mikutano ya Bunge na uone Je Ishara hizo hapo juu
hazitumiki? Jibu unalo wewe!!!
Hili ni Hall lililoko Mtaa wa sokoine Liko mkabala na Hotel
ya Kilimanjaro Kempisky, na wageni wengi hufikia Hotel hiyo kwa urahisi
wa Mikutano yao, kwani mambo yao huendeshwa kwa usiri mkubwa sana.
Hawa
ni Mafreemason Wakishiriki kwa Pamoja katika shughuli ya upandaji wa
Miti, Nadhani sasa utaanza kuelewa Kazi na shughuli wanazo
jishughulisha na hawa watu,, NAOMBA TUWE MAKINI SANA NA HAWA WATU,
AMBAO HUFANYA VITU VINGI VIZURI ILI KUKUVUTA NA WEWE UJIUNGE. FUMBA
MACHO MKUMBUKE MUNGU WAKO KISHA WAKEMEE.
Huyu Jamaa ANAITWA Sir Andy Chande Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Yeye ni Mwanachama wa Freemasons
Hawa
jamaa hapa Tanzania wamesaidia kituo cha watu wenye ukoma cha kindiwi
wilayani Utete; Kituo cha watoto cha Mama Theresa; shule ya
Vipofu ya Pongwe, mkoani Tanga; Kituo cha yatima cha Arusha, Hospitali
ya Mnazi mmoja kula Zanzibar; na Shule ya Viziwi ya Buguruni.

0 comments:
Chapisha Maoni