Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

MSICHANA AMCHANA MWENZAKE NA KISU BAADA YA KUGUNDUA ANATOKA NA MWANAUME WAKE

Je Unaweza kufanya unyama kama huu ukisikia mtu wako anatoka kimapenzi na mtu mwingine? Basi hii imetokea hivi karibuni msichana mmoja baada ya kusikia boyfriend wake anatoka na msichana mwingine alitoka na kumtafuta huyu msichana na kumchana chana na kisu kama unavyoona hapo kwenye picha.......

0 comments:

Chapisha Maoni