Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

AIBU: NDUGU ZANGUNI MME WA MTU NI SUMU BINTI AFUMANIWA CHEKI HAPA..

4
Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei.
Domo lagu , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.
Shuhudia  picha  hapo  chini
5 1

0 comments:

Chapisha Maoni