Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

HAYA NDIO MANENO YA DIAMOND ALIOSEMA KUHUSU TUHUMA ZA KUIBA WIMBO WA NUMBER ONE, SIKILIZA AUDIO HAPA

Siku ya leo mchana ndani ya kipindi cha XXL cha Clouds,nilikuwa
ninatambulisha rasmi,Audio ya wimbo wangu

 mpya wa Number One. ambapo pia nilipata fursa ya
 kuzungumzia yale yote yaliyokuwa
 yakizungumzwa kuhusu mimi,kuanzia swala la madai ya
 Dayna na Baba levo pamoja na tuhuma za binti aliyedai ana mtoto wangu.so
 kwa wewe shabiki yangu ambaye hukupata nafasi ya
 kuniskiliza.sikiliza audio ya mahojiano yangu kupitia hapa hapa.
Kumbuka tu kuwa,usiamini chochote ambacho sijakitamka mimi rasmi. NA WATUWACHE TULALE.

YASIKILIZE MANENO HAPA CHINIjavascript://

0 comments:

Chapisha Maoni