Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

ULE MUENDELEZO WA MASTAA KUANIKA MIILI YAO WASHIKA KASI, LULU NAYE AMJIBU DIVA KWA KUANIA KUFUA CHAKE MTANDAONI..!! TAZAMA PICHA HAPA


Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo. kama hukuona alichopost Diva siku ya jana bofya HAPA. leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.

Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??

0 comments:

Chapisha Maoni