
Ama
kweli wadada wa mjini wana mambo sana, wenyewe wanasema kua mjini shule
kijijini kilimo. Sasa huku kuja kwa mitandao ya jamii kumeibua makubwa
ambayo tulikua hatuyajui. Mwanzo Facebook ilikua ndo kila kitu kwa umbea
wote wa town unaupata kule ila kwa sasa mambo yamebadilika kabisa,
Insta ndo habari ya mjini. Kila kitu utakipata Insta hadi madalali lol.

Sasa
habari tulizozipata kutoka huko huko insta ni kua baada ya Raisi wa
wasafi bwana Diamond au Halima Kimwana anavyopenda kumwita Chibu Dangote
kutemana na mwanadada DvjPenny na tetesi kusema kua Diamond wamerudiana
na wema hili tulilolinasa laweza kuwashangaza wengi sana

Habari
zilizotafutwa na mdakuzi wa vitukovyamtaa kupitia mtandao mmoja maarufu
zinasema kua Bwana Diamond ana mtoto mpyaaa tena mkali ile mbaya.
Katika pitapita yetu Insta tukakutana na post ya mtu mmoja hivi ambaye
kila kukicha yeye ni kumtetea aliyekua X wa Diamond mwanadada Penny.
Post hiyo iliandikwa "Uwiiiiii chaggabarbie aijasimama Bado hapo au
nayo kibamia kwako ivi nimuulize diamondplatnum nae anayo kama hiyo nn
eti wemasepetu vjpenny04 mana mnatoana macho kwa mtoto wa tandale
sasaivi nasikia anapumzika kwa hamisa mobeto wanafata hii Kitu Kina dada
tuambizane na dai nae anayo nini kama anayo ukitoka kwa hamisa nenda
zamu chagga Basi uwiiiiii chaga una balaa ww Kitu na box ndomambo yako
chagga be like keep calm its just a big di**"
Sifa
kubwa ya mwenye hiyo akaunti ni kumtetea sana Penny na nahisi atakua ni
mtu wake wa karibu kwani kuna vitu vingine anaandika ni vigumu kwa mtu
ambaye si wa karibu na Penny kuvijua. Waswahili wanasema kua lisemwalo
lipo na kama halipo basi laja, Je ni kweli Bwana Diamond anatoka na
mtoto mzuri Hamisa????? Swali linabaki hapo???

Lakini
kama utakua mfatiliaji mzuri wa mastory haya utakumbuka kua karibu
mademu wote waliotembea na Diamond na baadae kujulikana ilianza kama
tetesi hivi hivi, mfano mzuri ni Wema, Yule aliyekua demu wa Mr Blue,
Penny, Jokate na wengine ambao ni ngumu kuwataja.
Kwa
wale msiomjua Hamisa ni nani, ngoja niwape profile yake kwa ufupi tu.
Hamisa ni Model. Umaarufu wake umeongezeka sana siku za hivi karibuni
kwani kuna makampuni mengi yanamtafuta kufanya matangazo nae kutokana na
uzuri alionao. Kwa wale mlibahatika kuliona Jarida la Pulse Kenya mwezi
huu mwanadada Hamisa ndo alipamba ukurasa wa mbele.
Kama
ni kweli Bwana Diamond kaamua kujituliza kwa Hamisa itakua poa coz
mtoto kasimama kila idara, Unaweza tazama picha za mwanadada Hamisa
zilizokusanywa na mdakuzi wa Vitukovyamtaa hapa chini.






0 comments:
Chapisha Maoni