BONDIA Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto' amefariki dunia jioni ya jana akiwa
mazoezini kwakwe maeneo ya kigogo mbrurahati Dar es salaa kifo hicho
kilimkuta kwa gafla wakati akifanya mazoezi ya kujiandaa na mpambano
wake wa ubingwa uliopangwa kufanyika hivi karibuni ata hivyo Tembo mtoto
ametutoka taarifa za msiba huo zilizotolewa na kocha wake Kwame Mkuruma
zinasema kuwa mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao manzese na
huwenda akasafilishwa kwenda kuzikiwa kwao mkoa wa Tanga mungu ametoa na
mungu ame twahaaa mbele yake nyuma yetu kazi ya
mungu aina makosa tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi tutakukumbuka daima milele Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto'
mungu aina makosa tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi tutakukumbuka daima milele Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto'
Mwenye rekodi ya kucheza michezo 7 ya ngumi za kulipwa akiwa ameshinda
mara 4 na kupigwa mara moja na droo mara mbili Yohana alijiunga na ngumi
za kulipwa mwaka 2011 ambapo mchezo wake wa kwanza kacheza na Seba
Temba wa morogoro ambapo alitoa nae droo na mchezo wake wa mwisho
kucheza ni tareha 9,8,2013 akimpiga kwa T,K,O ya raundi ya pili
bondiaShujaa Keakea
Mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Friends Corner Hall, manzese Dar es -Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni