Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

ni shidaaa!!! Mapigo ya B Band Yampagawisha Uwoya.

Mapigo ya B Band Yampagawisha Uwoya     Mapigo ya B Band Yampagawisha Uwoya 1                   
   Akionekana kama amesinzia kwa hisia kali mbele ya bendi ya muziki ya B Band inayomilikiwa na msanii mkongwe, Banana Zorro, picha hii ya mwingizaji Irene Uwoya  ilizua maswali mengi kuwa anaonekana jama alikuwa amechapa kilaji sana na kulewa ndio akapandisha mizuka hii au ni mapenzi  na mahaba yake na wimbo au nyimbo  ambazo zilikuwa zikipigwa na bendi hiyo.
 Majibu ya maswali hayo yote anayo Uwoya mwenye, lakini waswahili wanasema picha inazungumza. Wewe je unamuonaje hapo??
Awali akionekana yupo sawa sawa alipiga picha akiwa na Banana kama unavyoiona hapo juu.

0 comments:

Chapisha Maoni