Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

BREAKIN NEWZ:- MWANAMUZIKI MAARUFU WA SKYLIGHT BAND "CHILLI CHALLA" AFARIKI DUNIA

Rest in Peace Chili Challa tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi ni ngumu bado kuamini nimeishiwa nguvu jamaniSkylight Bandtz na fans kwa ujumla tutakumiss mno......!
Pumzika kwa amani kaka daima utakumbukwa kwa mchngo wako mkubwa
Chilli challa akiwajibika ipasavyooo enzi za uhai waki
Chili chala akilikung'uta gitaaaa ipasavyooooooo wakati wa uhai wake

0 comments:

Chapisha Maoni