Diamond Platnumz ndiye
msanii aliyetajwa sana kuwania tuzo za KTM2014 katika vipengere kama 6
lakini ameamua kufunguka mtazamo wake juu ya BASATA kuhusu kufungiwa kwa
baadhi ya nyimbo za wasanii , kupitia katika akaunti yake ya instagram
Diamond amefunguka na kuandika maneno mengi ya Busara zaidi kuhusu
BASATA.
Tazama hii picha uone alichofunguka
NANUKUU "ikiwa
kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu
pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka
nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake
Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka
nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na
kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be
achieved?? #Ni_Mtazamo_tu" MWISHO WA KUNUKUU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

0 comments:
Chapisha Maoni