Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

USUSRIKA KIFO WASTARA APATA AJALI MBAYA SANA YA GARI, SOMA ALICHOKISEMA HAPA BAADA YA KUNUSUSRIKA KIFO

Mcheza filamu wa kike mwenye jina kubwa bongo Wastara Sajuki usiku wa kuamkia leo amepata ajali ya gari akitokea sheri kununua mafuta na kupata maumivu ya kichwa.
Wastara amesema alishangaa kuona gari lake likibamizwa pembeni ambapo likadumbukia kwenye mfereji na yeye kujigonga kichwani“Mimi ninachokumbuka nimetoka sheri vizuri lakini gafla kama gari langu lilibamizwa na gari nyingine na kutumbukia kwenye mfereji
 
i“

0 comments:

Chapisha Maoni