Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

TAZAMA VIDEO CLIP HII UJIONEE MATUKIO YOOOTE YA SHOOTING YA MY NO 1 REMIX DIAMOND PLATNUMZ FAET DAVIDO


Baadaa ya kutoka kwa video ya ‘my number one remix’ mwezi mmoja uliopita, hii ni time ya fans wa Diamond kupata nafasi ya

kutazama jinsi video hii ilivyokua ikitengenezwa huko Nigeria.
Kwenye hii video utamuona Davido, Diamond, B-Red na wengine wakizungumza pamoja na zile mishemishe za upigaji picha.

0 comments:

Chapisha Maoni