Mtoto wa star mkubwa wa filamu nchini Rose Ndauka alitimiza arobaini
tangu azaliwe. Mtoto huyo anaitwa Naveen na baba yake mzazi ni Malick
Bandawe(Chiwaman) mwanamuziki wa Bongofleva ambaye ni mchumba wa Rose
Ndauka. Mastaa mbalimbali walikuwepo kutoa sapoti kwa Rose kama picha
zinavyoonekana hapo chini.










0 comments:
Chapisha Maoni