Mambo sio mabaya kwa msanii Ney wa Mitego kwa Mwaka hu mpya wa 2014 kwa
kile alichokifanya hasa kwa Mpenzi wake kueleka katika kusheherekea siku
ya wapendanao Duniani,
Kuelekea katika siku ya wapendanao ambapo zimebakia siku 5 ili kufikia
ile siku ya wapendanao Dunaini Ney wa Mitego ameamua kumnunulia mpenzi
wake usafiri ili kumuwezesha mpenzi wake huyo kutopata tabu katika
misafara yake ya kila siku.

Kupitia instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia
mpenzi wake na kuandika maneno haya ‘Zic iz 4u bby…zawadi yako my
superwomen…chama kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha
kaa Umooooo @truegal966 ‘
![]() |
| Hii ndiyo gari aliyonunua Ney wa Mitego |


0 comments:
Chapisha Maoni