Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

HAHAHAHA KITALE NOMA SANA..!! BAADA YA WASANII WENGI KUWAANIKA WAPENZI WAO NAYE AVUNJA UKIMYA NA KUMUANIKA MPENZI WAKE..!! ILA SASA...... TAZAMA MWENYEWE

 Baada ya kuona wenzake wanaanika usingiza wao, lile TEJA la mjini KITALE limeamua kutuonyesha usingizi wake. Lakini kamfichaficha hatumuoni vizuri. Ila najua wenzangu mnaweza kuthaminisha hata akiwa ndani ya hijabu. Vp wamependezana? Anajua kuchagua?


0 comments:

Chapisha Maoni