Ni wanafunzi watatu wa Kenyatta University Nchini Kenya,Njeri(21),
Ayira(23) na Kerebi(25),Kwa pamoja wakiwa Ndani ya Chumba cha kulala
kabla ya kutoka Out na Masugar-Daddy wao,walianza kupiga
Chanzo chetu cha kuaminika kutoka nchini Kenya(Wambui---Fan wa
Udakubiz),kinasema kuwa Hawa Mademu zamani walikuwa wanaishi Ngong
Hostels Bcoz walikuwa hawana enough Money ya kurent Nyumba nzuri ambayo
walikuwa wanatamani kuishi.
Wakaamua kila mmoja atafute Sugar-Daddy ili waweze kupata Pesa za Kurent Nyumba Moja hivi ambayo iko maeneo ya Kiambu county.
Hizi picha zilikutwa kwenye laptop ya Njeri(huyo chick aliyevaa glasses).

0 comments:
Chapisha Maoni