Ni katika harusi moja juzi,mjini bukoba,wahaya
walioko humo kwenye likizo ya sikukuu,wakimwaga noti huku mkoa wao
ukiwa
taabani kiuchumi. Sikatai pesa ni zako na una uhuru wa kuzitumia
utakavyo lakini twende mbele na kurudi nyuma kisha tujiulize hizo pesa
zimeisaidia vipi jamii maana tumezipata toka kwa hiyo hiyo jamii...!
Watanzania
tubadilike, tuache ushamba na misifa ya kijinga kama hii,turudishe
fadhila kwa kuchangia elimu,maji afya na huduma nyingine muhimu kwa
jamii jamani...!
HATUJIFUNZI TOKA KWA WENZETU...!!!!!
0 comments:
Chapisha Maoni