Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

KUHUSU DIAMOND UKWELI WATASUBIRI SANA::CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA


Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia 


hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo


mchana nilihitajika na media


mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 


mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto


 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye


 alitaka kufaham mipango yangu kimziki


,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya


 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live

na wasikilizaji  wa  Mambo msetO 

na wapenzi wa mziki wangu,...


Safari ikaanzia Hotelin



  1. Baada ya kuwasili 

Nikifafanua kuhusu swala la collabo 

nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya






Baadhi ya watangazaji wa Citizen


Picha ya pamoja na Mzazi will Tuva



Picha ya pamoja na watangazaji wengine wa Citizen

0 comments:

Chapisha Maoni