Huu ni mwendelezo wa ie story ya mzungu aliyezimika na mauno ya snura na
kuamua kumtafuta snura ili amfundishe kucheza style ya majanga. Kama
hukuiona story ya kwanza unaweza isoma kwa kubofya >>>>>hapa<<<<< Bongoclan imefanikiwa kupata picha zaidi za snura na mzungu huyo na kuona si vibaya mkizicheki na nyinyi pia.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)




0 comments:
Chapisha Maoni