Siku mbili zilizopita kumekuwa na stor zinazo wahusu wasanii wawili
wanaounda kundi la P Square kutoka Nigeria Peter and Paul kutambulisha
nyumba zao mbili walizo nunua huko Atlanta Georgia Marekani na kuwa
gumzo kila kona ya Africa lkn kwa upande wa area ya
255
Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki.
Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.
David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae.
Hizi ni ndiyo picha alizo-share Young D leo asubuhi.



0 comments:
Chapisha Maoni