Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

SHOW HII NDIO SHILOLE ALIAMUA KUKAMUA VYAKUTOSHA HADI KUMWAGA RADHI HATIMAYE NGUO ZA NDANI KUONEKANA...! CHEKI PICHA ZA TUKIO HAPA


KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa ameanika sehemu zake za siri.
Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki wa mduara, akiwa jukwaani huku akionekana hana habari kabisa na kitu kinachoitwa staha achilia mbali heshima.
Chanzo chetu cha habari kwa sharti la kutotajwa jina lake, kilinyetisha kwamba, Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.
Shilole akiwa ameacha sehemu zake nyeti.






0 comments:

Chapisha Maoni