Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

HII NDIO KOMESHA YA USALITI KWA WANAWAKE WENYE TAMAA.




Mwanaume mmoja huko Mexico amlazimisha girlfriend wake  kufunga na kufuli jeans yake ili awe mwaminifu kwake.Mwanamke huyo mwenye miaka 25 ambaye hakutambulika moja kwa moja alienda polisi huko Veracruz na kusema kwamba anasikia maumivu baada ya kushindwa kwenda kujisaidia haja ndogo kwa muda mrefu.

Aliwaambia askari hao kwamba kwa miaka  mingi,boyfriend wake huyo mwenye miaka 40 amekuwa akimfunga na kufuli lakini alikuwa anamuogopa sana kiasi kwamba akimfunga hakuweza kujifungua au kuchana.
Polisi walimkamata boyfriend wake ambaye alikiri kumfunga kwa kufuli girlfriend wake na kuwapa ufunguo polisi hao,CNN iliripoti.
Polisi walishangazwa kwamba mwanamke huyo hakutaka kumfungulia kesi boyfriend wake kwahiyo alipelekwa mahabusu lakini aliachiwa baada ya masaa machache

0 comments:

Chapisha Maoni