MREMBO BONGO MOVIE AENDA UINGEREZA KUJISHUGHULISHA NA BIASHARA ZAKE BAADA YA KUACHIA FILAMU YAKE MPYA.
Yuster Nyakachara asema baada ya kumaliza kazi yake MAJUTO SI HASARA anaenda uingereza kufatilia biashara zake, Wakati mashabiki wake wakiendelea kufurahia kazi zake. Hii ni katika harakati ya kusaka mshiko.
0 comments:
Chapisha Maoni