Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

MARAFIKI WA FACEBOOK TUWE MAKINI: HAYA CHEKI YALIYOMKUTA DADA YETU MPAKA KUFA...!




WITO umetolewa angalieni marafiki mnaokutana nao katika mitandao, hasa facebook itawamaliza wanawake.Soma majanga hayo.

Mwanafunzi mmoja wa Shahada ya Sheria kutoka Abuja amefikwa na Umauti baada ya kula kinachosadikiwa kuwa sumu. Imeelezwa kuwa binti huyo ali

toka chuoni na akamuaga room mate wake kwamba anakwenda kukutana na jamaa ambaye walikuwa wana chat kupitia facebook, ingawa alikatazwa lakini aliamua kwenda tu.

Asubuhi yake ndo mwili ukagundulika ukiwa umetelekezwa barabarani.


0 comments:

Chapisha Maoni