INASIKITISHA WATU WATANO WACHOMWA MOTO HADI KUFA HUKO GEITA SOMA HAPO.
RPC GEITA, LEONARD PAUL
Watu watano wameuawa baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kuvamia na kuiba kwenye msiba nyumbani kwa mzee John Bulemeja Ibarabara huko Nyantorotoro A, Mkoani Geita.
0 comments:
Chapisha Maoni