Ama kwa hakika Thamani ya Mwanamke inazidi kushuka kila leo kutoka na wanawake wenyewe kuzidi kubuni mbinu za kujidhalilisha na kujiweza wazi kila kukicha, Pichani ni miongoni mwa
wanamitindo mwenye asili ya Kiafrica aliyeamua kutimba na kagauni kama hako ndani ya Red Carpet, Unahisi anajiskiaje au wewe kama mwanamke mwenzie au kama mwanaume unamtafsiri vipi?
Si kila linawezekana kufanyika kuhusiana na mitindo linafaa kuigwa au kufanywa, wasalam.

0 comments:
Chapisha Maoni