Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

TRAFIKI ANUSURIKA KICHAPO KUTOKA KWA WAENDESHA BODABODA TANGA...

  Trafiki akizozana na dereva Bodaboda aliyevunja sheria katika stendi kuu ya mabasi mkoani Tanga.
...Askari akiingilia kati kumnusuru trafiki baada ya dereva Bodaboda kuanza kumzonga.
...Pikipiki ikipelekwa kituoni.
...Safari ya kuelekea kituo cha polisi wa usalama barabarani.
(Picha na Richard Bukos aliyekuwa Tanga)

0 comments:

Chapisha Maoni