Habari
zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Zuhura Maftah ambaye
wengi wanamjua kama Malisa amefariki dunia. Bado hatujajua
kilichosababisha kifo cha muigizaji huyo lakini
tutakuletea updates zaidi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

0 comments:
Chapisha Maoni