Katika mtandao wa kijamii wa facebook,
kuna makundi (Groups) mengi ambayo mtumiaji wa mtandao huu
anajikuta
ameunganishwa hata pasipo kujijua. Na hii inakuwa kero maana unakua
umeunganishwa kwenye group ambalo huna 'hobby' nalo kabisa. Kwa mfano
watu wengine si wapenzi wa siasa, na unakuta umeunganishwa kwenye group
la mambo ya kisiasa. Unajikuta unakereka vibaya sana. Lakini katika zama
hizi huna sababu ya kukereka. Maisha haya tunapaswa kuishi kwa amani na
furaha. Fuata hatua zifuatazo kujitoa kwenye ma-group usiyoyapenda.
Hatua ya kwanza:
Kwenye upande wako wa kushoto wa akaunti
yako click kwenye groups. Itakuleta moja kwa moja kwenye window yenye
magroup yote ambayo ulishawahi kujiunga au kuunganishwa na mtu. Window
hyo inawe
Hatua ya pili:
Kwenye window ya hayo ma-group, kolamu ya kwanza kabisa inaka 'feature' ka-'edit'. Click kwenye edit.
Ukisha click hapo itaonekana window kama hii hapa chini:
Hatua ya Tatu:
Itakuuliza uthibitishe. Basi click leave the group
Basi ukifanya hivyo facebook itakuondoa kwenye kundi au group hilo.
Ndivyo unavyopaswa kufanya mara kwa mara
ili ukurasa wako wa facebook uwe msafi na hakikisha unatoa
notifications ya status na tags zisiwe zinakuja kwenye email yako moja
kwa moja.
Hii ndiyo teknolojia yetu.
zekana ikaonekana kama hii:
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)




0 comments:
Chapisha Maoni