Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

UGANDA NAYO YAWATIMUA WAHAMIAJI HARAMU WA RWANDA WALIOKIMBILIA NCHINI HUMO BAADA YA KUFUKUZWA TANZANIA...!!

Wengi wa wahamiaji haramuwaliokuwa mkoani Kagera ambao wengi wao ni wanyarwanda wamekimbilia Uganda kama wakimbizi lakini makambi ya wakimbizi huko Uganda yamekataa kuwapokea.

Pamoja na serikali ya Rwanda kupitia ubalozi wake Uganda kufanya jitihada ya kutaka kuwarudisha Rwanda lakini wakimbizi  hao  wamegoma  kurudi  kwao  kwa  hofu  ya  kuuawa  wakirudi  Rwanda....

 

 

0 comments:

Chapisha Maoni