Pages

TUNAJIUSISHA NA HABARI ZA AINA ZOTE NDANI NA NJE YA BONGO VILEVILE TUNAKODISHA VYOMBO VYA MUZIKI NA P.A MAENEO YOTE YA JIJI LA MWANZA NA NJE YA JIJI LA MWANZA KARIBUNI SANA

INATISHA MWANAMKE ABAKWA MPAKA KUFA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA..

Ikiwa ni siku chache baada ya mwanamke mmoja mkazi wa kahama kubakwa na kutobolewa macho huku akichomekwa kisu sehemu zake za siri, mitandao ya kinigeria nayo imeripoti unyama kama huo..


 Kwa mujibu ya mitandao hiyo, unyama huo unadaiwa kutendwa kwa binti wa miaka 23 ambaye alibakwa na kundi la wanaume na kisha kumchomeka miti sehemu za siri na kumtoba macho..

0 comments:

Chapisha Maoni