Wema Sepetu kuwatambulisha wasanii wake Jumapili hii, Bilicanas
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu anatarajia kufanya uzinduzi wa
single za wasanii wake Mirror na Asali utakaofanyika Jumapili hiindani
ya Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi wa nyimbo mbili mpya Mzuri ya Asali pamoja na Baby ya
Mirror,utasindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Barnaba,Country
Boy,Nyandu Tozi,Linex,M2 the P ambapo Wema Sepetu atakuwamshereheshaji.
Kiingilio kwenye uzinduzi huo ni shilingi 6,000.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni